Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,241
- 95,482
Hahahaha😂😂😂,huu Uzi haupoi🔥,sijui sheeda ni Nini🙁
Hahahaha😂😂😂,huu Uzi haupoi🔥,sijui sheeda ni Nini🙁
😀😀Wapi huko?
Chimbo mpya la wakingaWapi huko?
Ndio wapi huko ?Chimbo mpya la wakinga
Nasikia uzi una laana😂😂😂,huu Uzi haupoi🔥,sijui sheeda ni Nini🙁
Hahahaha 😂 😂Nasikia uzi una laana
Huamini au😅😅Hahahaha 😂 😂
Mie km Tomaso ,kuamini ngumuHuamini au😅😅
Kwayio mpaka uone 😅Mie km Tomaso ,kuamini ngumu
Ndio ndioKwayio mpaka uone 😅
Na hata ukiona hutaamini utataka kushika kuhakiki
Sasa sina namna ya kukuaminisha kama uzi una laana 😅Ndio ndio
Hahahaha kama wewe unasema acha niamini, maanaSasa sina namna ya kukuaminisha kama uzi una laana 😅
Ila we amini tu
Malizia maana nini😁Hahahaha kama wewe unasema acha niamini, maana
Looking good mkuuFuta mkuu🙏🏿
🤣🤣🤣🤣Nasikia uzi una laana
Hahahaha,yaani utumie wewe nifute Mimi ?Futa mkuu🙏🏿