Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sifa za kidoti ulizomwaga jana bwana wasenge wamepita nazo na hata hawajaona kitu! Mbongo mpe heading ndio kakusanya kamati hapo naona anawasimlia jinsi kilivyo fake😁
Ukiona ugomvi upo serious sana kama wewe ndo chanzo ni vizuri kurekebisha ulipokosea ili maisha yaendelee.
Kama wewe sio chanzo basi piga kimya kumuepusha shetani mambo mengine yaendelee.
 
Ukiona ugomvi upo serious sana kama wewe ndo chanzo ni vizuri kurekebisha ulipokosea ili maisha yaendelee.
Kama wewe sio chanzo basi piga kimya kumuepusha shetani mambo mengine yaendelee.
Kwakweli wacha nikae pembeni nimpe shetani kombe! Sitaweza league za aina hii! Maana mtu anahisi kuibiwa bwana muda wote! Kazi kweli! Am off💃🤐
 
😹😹😹 Bado hujasema tumekuona bana weeh..!! Acha kutaka matraco ya wenzio we yako huna usiweke hayo mazuri??

Nakwambia kila siku acha kupandikiza wengine kwenye ugomvi ili kujidefence. Watu hawataki mabifu hujishangai dada pawa mabula? Post traco
Ww nae fala tuu, c unyooke, Kila saa pawa mabula pawa mabula
 
Back
Top Bottom