Waje nawasubiri tena wanisubiri kuanzia usiku mana kesho jtatu niko busy..!!Na kitawaka kesho humu, watu wako huko kuandaa Kombora.
πππ
ππππ tena walioko Maporini huko.Tutamshtaki EU JF haifungwi ni Hawa walimu wa TAMISEMI wana midomo..!! πΉπΉπΉ
Haswaaa, iwe mida ya Wanga, watunza masijara tuwepoo.Waje nawasubiri tena wanisubiri kuanzia usiku mana kesho jtatu niko busy..!!
Silali namsubiri Mbaga aje aseme kinachomtesa kipi? πΉπππ uduguuu, em lala kwanii.
ππππ sasa atakuja kesho huyooSilali namsubiri Mbaga aje aseme kinachomtesa kipi? πΉ
Mi nilijaribu kurudi hata semester sikumaliza nikarudi kuwinga ada ikaenda bure πΉπΉWee acha aunt
Mambo ya kulazimishana kusoma na uzee nimepata hesabu 5 aunt nasikilizia masimango tu hapa ππ
πΉπΉπΉπΉπππ wee nae hata kufungua dot hukuwezaa? Mbona hajifichi uduguu.
Duuh
πΉπΉπΉπΉKigamboni kuna Waganga na Wachawii tuu.
Vizee vya kisambaa na kidigo vimejaa huko topu.
πππ
πΉπΉπΉ Chaka to chakaππππ tena walioko Maporini huko.
Wasianze tukiwa hatupo πΉHaswaaa, iwe mida ya Wanga, watunza masijara tuwepoo.
πππ
Kabisaaa, πππWasianze tukiwa hatupo πΉ
πΉπΉπΉ Ayazue leo aje kesho weeh.!!ππππ sasa atakuja kesho huyoo
ππππΉπΉπΉ Chaka to chaka
Noumaa nakuambiaa uduguu, ππππΉπΉπΉπΉ
Watu wanataka kupelekwa Mjiniii, Alooooh.πΉπΉπΉ Ayazue leo aje kesho weeh.!!
Mi sina muda wa kumpeleka mtu mjini..Watu wanataka kupelekwa Mjiniii, Alooooh.
π Dah ety dada power mabula.U
Si umesema unanijua em nilete OG
Na ule muda unajisemesha kuhusu Ai kumbe ulikua unanisemea mimi?? Aloooo πΉπΉ
Mbaga sikiza wewe wa kiume hizi mambo hazikufai. Uliweka pic yako hapa na ukaniita nione nikakusifia baaadaye ukanifata ukalalamika yule dada power mabula wa misungwi sijui mwadui huko anadai ana pic zako nikakuuliza uliwahi kumtumia? Ukajibu hapana na ukawatukana kinyama nikakwambia potezea..!!
Ukaja kurudi hapa unalalamika blah blah nyingi sijui watu wanasema wewe muongo pic sio zako nikaishia kucheka tukakutania na coca tukapita hivi.. kumbe bado una vinyongo vyako leo umekuja umebwata na kuharisha km bata hata sijakuelewa na sijakuzingatia zaidi ya kucheka na mpaji Mungu na kutaniana naye..!!
Sasa mimi mwenzio mama wa mambo kwa ushahidi sema hapa dukuduku lako lote likutoke acha kujaza mate mdomoni km una mimba..!!
Ongea tumalizane.
Mimi na wewe hatujuani kokote na hatujawahi hata kuonana..!!
Nini shida?
Afu ukiniandika jina hakikisha umenitag nione kwa urahisi, sio tena nipate shida kufuatilia story ilipoanziaMimi aje hapa anieleze shida nini tufunge topic kukaa na kijiba siwezi.
Maana habari za yeye kuambiwa pic sio zake kaniletea yeye. Kazitoa huko kwenye uzi wa hao waliokuwa wanamsema..!!
Ghafla kabadili gia angani anatutuhumu sisi..
Halafu hata hiyo pic yake yenyewe nishaisahau maskini..!!
Wakikaa na power mabula wake wanajazana upuuzi gani sijui? Em Mbaga yaongee hapa tumalizane..!!