Hahahaha,kula wa chuya ndio Nini, RafikiLeo umeula wa chuya mzee🤣
Nipo namtunzia mahi wangu atakavyoletwa na Bwana☺️Kumbe nawe chicca haulombani kama mimi tu🥲
Hata ikiwa kweli mahi🤣🤣😅utani tu
Hiyo part time job unanilipa shingapi? 😹Hebu nitag bana acha mambo yako, naitafuta hata naiona, though sio currently ubaya nimepita naked
Hongera sana mamaake! Niliziona na juzi kw anyuma zimejaa sana! Tumia ya box naona huwa iko vizuri!Asante nimexikata
Coz nimebadirisha dawa
HahahahaNipo namtunzia mahi wangu atakavyoletwa na Bwana☺️
Siku hizi hawaletwi unafanya kuforce tu ma mkali😆Nipo namtunzia mahi wangu atakavyoletwa na Bwana☺️
Huhuhuhu kumbe ni serious hivi 😁😁Mtu akini tag comments ambazo bado zina picha zangu, nam-bless na vocha
Mambo ya fursa hayo😁Mtu akini tag comments ambazo bado zina picha zangu, nam-bless na vocha
AiseeKumbe nawe chicca haulombani kama mimi tu🥲
MakubwaWatu wakikureply kwenye picha haifutiki inabaki, inabidi ukipita watu wasiquote ile picha yako.
Ila wabongo sasa hawasikiii 🙌
Wewe ulitakiwa nisikulipe, mbona ninakuletea zawadi yako na sijadai malipo yeyote, fanya kwa mapenzi😊Hiyo part time job unanilipa shingapi? 😹
Et eenh 😊Hata ikiwa kweli mahi🤣🤣
Ni fureshiii
Wewe na mwenzio ShesRise_1 kuna kitu mnanitafuta..!! 😹😹😂😂😂😂😂😂 nilikuwa nachangamsha kijiwe tu
Hapo kwenye kuchombezwa mimi nitoe aseee 🙌
Utajua hujui🤸🏽♀️Hahahaha,kula wa chuya ndio Nini, Rafiki
Mda hautoshiEt eenh 😊
Hapo kwenye kumuona dereva ndo tatizo litakapoanzia🤣🤣🤣🤣🏃😎😍😍😍 Naomba kumuona dereva wog 😹
Watu wazuri mpk mnakeraaa..!!
Yani wewe sisemi sana taji la selfika lako..!!