Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,355
- 9,432
Onhoo 🫂Jamani utaniii sio hivyo🥰
Onhoo 🫂Jamani utaniii sio hivyo🥰
😀 Unanitega ujue..!!Kwani we unataka ya bei gani lamomy?
🤣🤣🤣🤣Tumewaachia muangalie na nyie mliokuwa offline mwee🤣
Siri gani sasa hapo🤣Umetoa SIRI😂😂
Mkuu mbona hufananii na yale maongezi🤣 kisura cha upolee..🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️💨💨💨
Leo watu wameamua😎😎🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️💨💨💨
Mzee wa kuchezesha🤣🤣🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️💨💨💨
🥲rudia plz🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️💨💨💨
😘😘😘😘🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️💨💨💨
Siwezi kuacha mbachao....Bora Hata usimuone usije ukamuacha shem bure 😹😹
We unsogopa wenxio unasema warudie🤣🤣🤣🥲rudia plz
Kuanzia leo nitaanza kukujibu kwa heshima mkaka km wewe hutakiwi kufokewa..!! 😹😹🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️💨💨💨
Nikiwa natumia dawa natumia full package sichanganyiUmejaribu kutumia full package ya hair food?
Nimelia sana nimepitwaje aseee huwa nataman kumuona na story zake zileWe unsogopa wenxio unasema warudie🤣🤣🤣
🤣😆🤣Kuanzia leo nitaanza kukujibu kwa heshima mkaka km wewe hutakiwi kufokewa..!! 😹😹
Huu sasa umalayaa mahi😘😘😘😘
Maka Maka Maka MAKAVELI
Nimekuita mara ngapi?
Hivi wakaka wa JF mnanitaka nini mimi?
Mna ubia na shetani ili muharibu future yangu? 🙆♀️
Yani siku zote hizi umetulia na huko muhashamu na husemi??
Sasa na zile mambo zako itakuwaje jamani..!! 🔥🔥
Yaani vitu 2 tofautiNimelia sana nimepitwaje aseee huwa nataman kumuona na story zake zile
Nikajua peke yanguHuu sasa umalayaa mahi
Ila mimi sijaona😢
sijui hata nijibu vipi we mdada, ila kuna kete kadhaa hapa, njoo tushtue mapafu na ubongo.😘😘😘😘
Maka Maka Maka MAKAVELI
Nimekuita mara ngapi?
Hivi wakaka wa JF mnanitaka nini mimi?
Mna ubia na shetani ili muharibu future yangu? 🙆♀️
Yani siku zote hizi umetulia na huko muhashamu na husemi??
Sasa na zile mambo zako itakuwaje jamani..!! 🔥🔥