ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,111
- 40,420
🤪🤪Nilicheka mie juzi hadi sio poaa, 😂😂😂
🤪🤪Nilicheka mie juzi hadi sio poaa, 😂😂😂
Itakuwa mume wao hayupo ndiomana wamepoa..!! 😹😹Haswaaa!! Au wameenda kozi mtu na mjeda mwenzie?
Maana wako kimyaa mnoo, 😂😂😂
Wewe napita😂😂😂 ndio maana, Aloooh.
Nimechelewa nusu saa tuItakuwa mume wao hayupo ndiomana wamepoa..!! 😹😹
Coca hamna watu njoo tupite naked muda ndo huu
Ntakutag dear usicheze mbaliLD Mie nimepitwaaa, fanyaa kurudiaa Dear.
Shida mna jizungunsha mnoo, hapa penyewe nililala, nikaacha simu na tv on aiseeUmefanya mpk nisimame nipige ili uone khaaa..!! 😹😹
We jitie umama paroko na hujaombwa, peleka hiyo tumbua mamaake ohoo🤣😂😂😂😂 hapana nitaona haya kumuonesha ka kitumbua, ila niseme tuuu nipo tayali kumchagulia wifi endapo kama atahitaji msaada wangu lakini
Ni kweli sababu nimekukagua nje ndani nikajiaminisha fika kuwa wewe ni mzuriKweli au usingizi unakuchanganya?
Vipii tayari au badoo? WoiiihNtakutag dear usicheze mbali
Pita basi dihaVipii tayari au badoo? Woiiih
Nililala mie uduguu, 😂😂😂Itakuwa mume wao hayupo ndiomana wamepoa..!! 😹😹
Coca hamna watu njoo tupite naked muda ndo huu
Wee mbona hujapitaa, ulinigomea jana ilee.Pita basi diha
Nitakutumia Pm babeWee mbona hujapitaa, ulinigomea jana ilee.
Ulipitaaa uduguu, wee huogopiii??Leo napita bila emoji 😹😹
Mida ya wanga
Watu weuweeemdogo wangu Warld ibada imeisha hebu njoo nikuone hensam wa ukoo