Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂 jamaniii si mfanye kuwekaa.
Yaani mie kutokaa kidogo, watu wamefanya kufuru hapa ndani, hadi Kina Mshamba wamepita Naked.
Alooooo!! Nachokaa mimi, 😂😂😂
Mie ya mshamba nime inyaka dakk za jiniiii ipo kwenye gallery 🤣🤣🤣
 
Wee lini ulipita hapa, kazi ku zoom za wenzio tu.
Mxxxiiiieeew, 😂😂😂😂

Hansard zinabaki kwenye uzi hapa hapa. Lol
Hata msiogopeee.
😃Tatizo tunapishana me mwenyewe sijakubahatisha kitambo kwel...


Najitaid kupita siku hizi😃 mara moja moja sio mbaya
 
Back
Top Bottom