Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,901
Haya tupia basi, mida ndiyo hiiSi ndiwoooo, 😂😂😂
Haya tupia basi, mida ndiyo hiiSi ndiwoooo, 😂😂😂
😹😹😹 Aweke tusome maoni ya mabazazi wa JFUzii badoo mwanakwetuu? Tupatee feedback alooo.
😂😂😂
Sasa hutaki ndoa unataka nini?Yaan wewe we Tonny unamjua 😀
Mi ndoa sitakiii
ila not under 20, sio?Bhanaaa😁
Mi bado mdogo
Ko mmepiga dk 90 😹😹😂😂😂 hadi keshoo, sahivi mapumzikoo.
😹😹😹 Wohiii..!!Wala Power cef, 😂😂😂
😀😀😀 shenziiiSasa hutaki ndoa unataka nini?
Yule Pastor hataki kuzini ujue 😹😹😹
Nina miaka 18ila not under 20, sio?
😂😂😂 uduguuu, mchana mzima kulilia, fa mchezo.Ko mmepiga dk 90 😹😹
Ushindi wa matuta au umekula mikwaju ya kutosha..!!
Dah kumbe bado mdogo.Nina miaka 18
Hapo unadundaa, wee yutiyai ya kutoka kila tobo wee mchezoo??😹😹😹 Wohiii..!!
Hadi muarobaini?
😹😹😹 Ute si umekauka sasa km mambo yenyewe ndo hayo..!!😂😂😂 uduguuu, mchana mzima kulilia, fa mchezo.
Machoziii yamekataa na sauti hamna, mie kuguna km mdudu siweziii. Bora match ihairishweee.
😂😂😂
Apelekwe lindoni kusulubiwaa? 😂😂😂Eeh da Feli alisema tena akakazia asipodaka apelekewe lindoni..!! 😹😹😹
😂😂😂😂 wee chizii eti eeeh? Nimecheka km mwehuu.😹😹😹 Ute si umekauka sasa km mambo yenyewe ndo hayo..!!
Ungemshusha kuchanua yeye anachukulia simple 😹😹
Yutiayi ya mafungu 😹😹Hapo unadundaa, wee yutiyai ya kutoka kila tobo wee mchezoo??
😂😂😂
Kwani saiv nipo je 😀Dah kumbe bado mdogo.
Sasa ukifika 20+ mbona itakuwa hatari
Haswaaa!! 😂😂😂😂😹😹😹 Aweke tusome maoni ya mabazazi wa JF
Mpe mwenzio nafasi..!! 😹😀😀😀 shenziii
Hivi nyiee😀😀😀😹😹😹 Ute si umekauka sasa km mambo yenyewe ndo hayo..!!
Ungemshusha kuchanua yeye anachukulia simple 😹😹
Akuuuu mie naogopaa bado mdogoMpe mwenzio nafasi..!! 😹