ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,993
- 40,148
Ndio ujifunze kutulia siku nyingineMwanzo nilikuwa nauona trending ila sioni hizo picha 😁
Ndio ujifunze kutulia siku nyingineMwanzo nilikuwa nauona trending ila sioni hizo picha 😁
MtesiMwanzo nilikuwa nauona trending ila sioni hizo picha 😁
Baba tamu hana baya 😹😹😂😂😂😂 nakuambiaaa, tuache bipolar za kiwakiii..
Muhimu upendwee hadi ufungiwe, sasa ngenga zitatoka wapiii??
Dah atamuua nae kazidi ku mpea yote aanze kumpunja kama vip eboooAna mpare wake ana miwivu huyo balaa 😹😹
Mvuvi haramu uliona eehh 😹😹😂😂😂😂 nakuambia, afu ana makusudi huyu ni mvuvi haramu.
LabellaUmefanya mpk nisimame nipige ili uone khaaa..!! 😹😹
Siti ya mbele nipo nimetuliaNdio ujifunze kutulia siku nyingine
Vp babu tulia huku sikujui 😂Mtesi
Acha tu!Wanakupa hamasa ushushe lako
😹😹😹 mfyuuuu..!!Hey Wajaa!!
Mtunza masijara wa JF, Ndio niko winja winja hapaa.
Mfanye kuweka hizo picha nilizopitwaa, ili ziwekewe kwenye hansard za Selfika.
😂😂😂😂
Kumbe mna save kwenye gallery zenu 😹😹Mie ya mshamba nime inyaka dakk za jiniiii ipo kwenye gallery 🤣🤣🤣
Kaumba nini hapo 😹😹😹Mungu kaumbaaaaaaaa ❤️❤️❤️
Tutajuana room kesho npo na weweVp babu tulia huku sikujui 😂
😹😹😹 Tusamehe haturudii tena..!!Nilale sasa humu mtanipoteza 😁💔
Nime save ya mshamba aiseeeKumbe mna save kwenye gallery zenu 😹😹
😹😹😹 kojo la yutiayiNakuambiaa full kupokezana kojo zitoo.
😂😂😂😂
Tuache utani umzuri dada ❤️Kaumba nini hapo 😹😹😹
Kujazana sitaki
😹😹😹 Hawezi huyo yeye mwenyewe kakoleaDah atamuua nae kazidi ku mpea yote aanze kumpunja kama vip ebooo
Kusikia hivi huku nalala kama panga inauma sana😹😹😹 Hawezi huyo yeye mwenyewe kakolea