Kazuri haswaahGrand kid ake anasemaaa, ni kazurii hakoo.
Mahii nilikua kuswampaa huko njee, sahivi ndio naingiaa.We umetoka wapi saivi watu tumepita nakedπ€£
πΉπΉπΉ HatareeHapo chachaaa, ππππ
Rhabhekhaaaa!!! πππMwana mpotevu
Wana mighorofa wameinunua kkoo km ugomvi..!! Wananitia hasira πΉPesa ipo washakua madoni haoπ
Kuswampaaa jamaniiiii, woiiiihKwani wewe unakuaga wapi
ππππ hapana nitaona haya kumuonesha ka kitumbua, ila niseme tuuu nipo tayali kumchagulia wifi endapo kama atahitaji msaada wangu lakiniMdogo haiingii kwani, we ishi hapo mdogo wako huyo? Hebu nilale mimi nmeaga masaa mawili umbea naoπ€£
Nna hangover ya mchana kmmake! Gudubaiiππ€Έπ½ββοΈ
Umepitwa nakwambia mtoto maji ya kwanza huyo..!! πΉππππ napitwaa na vitu vizuriii mie, Aloooh.
Sijasomaa mahiii, wachaa niwahiii nikasomeee alooooh.πΉπΉπΉ Una case nyingi wewe leo!
Umesoma msg zangu WhatsApp kwanza au umekimbilia huku?
kibabu unataka kusema?π€π€£Kakutana na dalali
BadoBuku
Wachaaa wee, ππππGhafla ya nini?, kulikoni tena akati mi niko nanjilinji
Kwa kweliii.English figure
Niko hoi mwambie Labella akuadisieMahii nilikua kuswampaa huko njee, sahivi ndio naingiaa.
Haya fanyaa kurudiaaa, πππ
kwa kiswahili kizuri umemaanisha nini bintiπRumagiia na chumvii mahi
ππππ nakuambiaaa, tuache bipolar za kiwakiii..Umeanza fujo baba tamu kakuachia sasa πΉπΉ
Dah uko off beat sana, au ndio nina usingiziWachaaa wee, ππππ
ππππ sasa je?Coca we ni wa kunipigilia misumari?