Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

View attachment 3602221

Sikufikii wewe maji ya kwanza, niko nasubiri kichambo cha kukosa nuru 😂 Coca kasema sisi vyeusi mangala ni machaguo ya pili huwa tunaonewa huruma tu 😂😂

Kajukuu kangu, anzeni tu kuniita bibi 😂
😹😹😹 Uduguu wangu mzoee tu!
Wewe sio mweusi una rangi ya chenza bhana..!!

Huyo mjukuu wako wapi mfyuuu..!!
Unatufanya watoto sasa..!! Kwa uzee gani ulionao? 😹
 
😍😍😍😍
Igweeeeeeeee
Una sura nzuri mashallah 🤩

Umeolewa? Namuulizia kaka yangu apate jiko hili chap..!!

Sema sura yako haiendani na maandishi yako. Sura ya upole maneno sasa 😹😹
Aloo sijui why naambiwa sifanani na maneno yangu 😂😂
Sasa ukisikia sauti utacheka hoii🤣🤣.
Mdomo wangu ni hapa nyuma ya keyboard live hamna kitu
 
Wewe unatokea sherehe imeisha watu ndiyo tunakunja matent tuondoke, umechelewa leo watu kibao wameselfika humu.

Kuna wadada na wakaka 🔥 🙌🏽 acha tu!
Kama Kuna mkaka wa haja anayeeleweka namuomba chocho, hawa wadada wapite tu, apa tu nishalewa kimbwa nikikaa humu ntalimana block na wapumbavu bure!

Hebu njoo kwanza cheusi mangala mwenzetu🤭
 
Back
Top Bottom