Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,994
- 13,311
Asante kwa kumgongelea misumariHii haikua quote yako shem
Asante kwa kumgongelea misumariHii haikua quote yako shem
😆Niko mbaya mbovu nisije achia connection wachawi wako active ileile😁
Nitapiga kuanzia bwana mpk mchepuko wake 😹😹😹Na utafanya fujoo nakujua hatutakaa humu 😂😂
Nisamehe ila siachiHiyo shem ntakuchapa 😹
Binti sayuni wanawake kutoka njombe tunawajua tu sura zao mpaka unajiuliza ivi kati ya bustani na huyu nani analala njeEeehh 😹😹
Kwahiyo wa makete tukoje?
Jamani sisi ni wapole kasoro mimi tu ndo sina sura la upole..!!
Sikiliza wanawake hatukubari kirahisi we usichoke mimi shem kama shem nimekupokeaAsante kwa kumgongelea misumari
Vuruguuuu mtindo mmojaNitapiga kuanzia bwana mpk mchepuko wake 😹😹😹
Natumia cm ya mkopoWe wa makete mwenzao mbona hupiti tusuuze nafsi🤣
Pole mjomba!Natumia cm ya mkopo
Shemejiiiiiiiiiìiiiiiiiiiiiiiiiiiii1,2,3 inafutwa
Siku hizi hatukomai sana, huwezi jua likuepukalo ni la kheriSikiliza wanawake hatukubari kirahisi we usichoke mimi shem kama shem nimekupokea
Humu kwani wale wafupi weusi hawapoPole mjomba!
Dah Labella unataka nini binti😢Siku hizi hatukomai sana, huwezi jua likuepukalo ni la kheri
😂😂😂Humu kwani wale wafupi weusi hawapo
Hukupata habari zangu kumbe🫢Humu kwani wale wafupi weusi hawapo
Ashindweeeee! 😂😂😂Anakubania huyo 😹
Hiyo kaka kwiyoo
Unataka uitwe naniAshindweeeee!
Tulia kijumbe trako moja kubwa jingine dogo hivi ni kwaniniHukupata habari zangu kumbe🫢
Huwa wanakaa kimya ukianza tu kupendana hao wanakuja kukudai maex na chicks wapya wanajigonga..!! 😹Sijawahi kuwa na mahusiano humu
Wahuni walifanya yao! Pita basi mzee unanikata stimu unajua😁Tulia kijumbe trako moja kubwa jingine dogo hivi ni kwanini