Tonny Kapola Gas Station
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 530
- 1,619
Preferably Daddy! 😂😂😂💪Unataka uitwe nani
Preferably Daddy! 😂😂😂💪Unataka uitwe nani
Inabidi ujitahidiNisamehe ila siachi
Eeeh wampe bure?Huwa wanakaa kimya ukianza tu kupendana hao wanakuja kukudai maex na chicks wapya wanajigonga..!! 😹
Kuna member nilikuwa namtania humu nikashangaa nimepata wake wenza wa kutosha mpk wengine wanajigonga piemuni wampe bure kunikomoa 😹
Acha basiNikabaki nashangaa imekuwaje mwanzo walikuwa wapi? 🙆♀️
Sawa kama hutakiInabidi ujitahidi
Nikikuita hivyo utafurahi?Preferably Daddy! 😂😂😂💪
Wewe una chuki zako tu!Binti sayuni wanawake kutoka njombe tunawajua tu sura zao mpaka unajiuliza ivi kati ya bustani na huyu nani analala nje
Mahusiano ya kuitana ma mtu na ba mtu hayo hapo mmoja anakua mwiziWahuni walifanya yao! Pita basi mzee unanikata stimu unajua😁
Wivu unakusumbua mamaaee, usinitag tena huku kama hunipi mambo mazuriMahusiano ya kuitana ma mtu na ba mtu hayo hapo mmoja anakua mwizi
😹😹😹Vuruguuuu mtindo mmoja
Toka umeanza kunitaniaHuwa wanakaa kimya ukianza tu kupendana hao wanakuja kukudai maex na chicks wapya wanajigonga..!! 😹
Kuna member nilikuwa namtania humu nikashangaa nimepata wake wenza wa kutosha mpk wengine wanajigonga piemuni wampe bure kunikomoa 😹
Nikabaki nashangaa imekuwaje mwanzo walikuwa wapi? 🙆♀️
Alooh wale walikua bomba sana au mimi nakutana mfano wa roboti lililozinduliwa bungeniWewe una chuki zako tu!
Wale mabinti waliokufa kwenye lile jengo kkoo uliwaona yule Pude na dadaake?
Unataka kuniambia zile sura za kulala nje?
Unakutana na wa wapi wewe??
Nimepitwa 🙆♀️Shemejiiiiiiiiiìiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Fire 🔥
Tena naked😂🔥🔥Nimepitwa 🙆♀️
Ushakua mtu mzima wewe tena kibonge unataka kudekadeka kwanguWivu unakusumbua mamaaee, usinitag tena huku kama hunipi mambo mazuri
JF kuna vituko hujui tu.! 😹Eeeh wampe bure?
Acha basi
Nachoka 😂JF kuna vituko hujui tu.! 😹