leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 2,848
- 14,409
Kabisaaa asitutanieUkirudia wewe na mimi nitarudia 😹 😹
Kabisaaa asitutanieUkirudia wewe na mimi nitarudia 😹 😹
Be free wewe sema..!! 😹Nataka kusema kitu ila naogopaq🫣
Si ndiyooooo 😂Kabisaaa asitutanie
Si ndiyooooo 😂
Mama starz mwenyewe 😍😍Karia umbea sasa
Mdogo akeeeerr🔥🔥🥰🥰🥰😍😍😍😍😍
Wewe wa moto igweeeeeeeeee 🫡Nimerudia Sasa haka ka gnz kanichambe
Au sioni siku hizi?
Mashallah, yaliyomo yamo mwanakwetu 😍 hatariii 🙌🔥
😹😹😹 TayariUkirudia wewe na mimi nitarudia 😹 😹
AsanteMama starz mwenyewe 😍😍
Dadeq Mungu anajua kuumba check mtoto alivyo mkaree 😻
Sura tramu lips za denda mamaahh 😘
Wewe leo huna bahati 😹😹😹Au sioni siku hizi?
Sawa tumeona Gen Z 🔥 🔥Haya mkuu, hiyo hapo😅
😹😹😹😹😹 Tuzoeee mwanakwetu..!!View attachment 3602209
Yani hadi kusema asante tunaogopa, mara unasifiwa, mara unachambwa kwa kukosa nuru, ili mradi fujo tu 😂😂
Haki leo nina ka mzozo, hebu rudia aiseeWewe leo huna bahati 😹😹😹
Janja kaza kidogo, meno ka Umeweka filterHaya mkuu, hiyo hapo😅
😹😹😹 Wewe kisu alooo!Nimerudia Sasa haka ka gnz kanichambe
Hii sura naijua haki tena 😹😹Haya mkuu, hiyo hapo😅
Mmh hii michezo naijua mweeh! Siunakuaga mweupe mbona hapa mweusiHaya mkuu, hiyo hapo😅