leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 2,848
- 14,413
Hahahahaha. Asante we pia uko vizuri mnooo.😹😹😹 Wewe kisu alooo!
Ndiomana baba Starz alipagawa.!!
Una sura nzuri ya kuombea pesa na mwanaume akatoa zote halafu akakuomba umpe nauli tu katika hizo pesa..!!
Naanza Kuona kwa nn unajiamini sana