Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,052
- 33,743
Sijaona umepita tayari? 😥Umeona?
Walikua wanakuonea wivuuu 😅😅Niliambiwa kumradhi...
Nimelud nimeikuta
Ugonjwa wako kaka mpaka ukutoe rohokaka mi hiyo rangi ina nimalizaga sana.
Mimi mwenyewe winga sasa nitakupa kazi gani? 😹Naomba kazi 😁
Nifundishe uwinga basi shooMimi mwenyewe winga sasa nitakupa kazi gani? 😹
😹😹😹 Hiyo iko wazi mbonaSubutuuuuuu weee
Kuna mtu ana hako ka rangi, macho, urefu flani hivi eiish nasemaga majaribu hayaUgonjwa wako kaka mpaka ukutoe roho
Sawa sawa winga.Mi kujiamini kawaida yangu si winga 😹😹😹
Hakuna kazi ngumu km kumpanga mteja anunue kitu ambacho hajapanga kununua..!!
Nadhan mkuu walitaka siku yangu iende kombo...Walikua wanakuonea wivuuu 😅😅
Umeonaaaa🔥
Basi unisalimie mkuu tukionana tena. Niambie wewe ni "cheupe dawa" nitaelewa code.Hii sura naijua haki tena 😹😹
Dogo kumbe ni wewe unayenikoromea humu? 😍
Nakataa katu katu😹😹😹 Hiyo iko wazi mbona
Bado wewe.Leo hadi wewe ume selfika mshamba_hachekwi 😀😀
Nakuunga mkono mpka akuueKuna mtu ana hako ka rangi, macho, urefu flani hivi eiish nasemaga majaribu haya
Rudi hapa kwenye reply ya Coca 👇Sijaona umepita tayari? 😥
ImagineNadhan mkuu walitaka siku yangu iende kombo...
🌹🌹 jiweke basi😎Apewee maua yake
Naogopaaaa uwiiiiiBado wewe.
Futa hii kaka
Aah soon ngoja nitoke shamba huku😃Imagine
🌹🌹 jiweke basi😎
Mbona wivu hutaki wengine waone🤣🤣Futa hii kaka