Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 2,127
- 5,512
Haufananishwi na wakubaki ndani. 😂😂Mguu wa kutoka😂
Haufananishwi na wakubaki ndani. 😂😂Mguu wa kutoka😂
😂😂🙌🏾TupiaHaufananishwi na wakubaki ndani. 😂😂
Umejimaliza, afu nina zawadi yako njoo PMSababu sijawahi 😹
kwaiyo niache kunywa juice ya tende my!😹😹😹 Mfyuuu..!!
Kunywa kwa afya yako 😹kwaiyo niache kunywa juice ya tende my!
Weeeh! Ninavyopenda zawadi sasa 😻Umejimaliza, afu nina zawadi yako njoo PM
Mtume Kauombea 🤣Mguu wa kutoka😂
Kweli wajukuu ninao babu yenu 😊
usianze tu kuomba kiko😅Kweli wajukuu ninao babu yenu 😊
Na unatamba naoKweli wajukuu ninao babu yenu 😊
Hakika, yanini nijikwae njiani wakati wajukuu wa kunishika mkono ninao 😜Na unatamba nao
Koh koh koh .......umenikumbusha jambo mjukuu, hapa nina arosto mbaya ya kiko ujue 😂usianze tu kuomba kiko😅
tayali😅😅😅 ila babu khaaa ushanishinda tabiaKoh koh koh .......umenikumbusha jambo mjukuu, hapa nina arosto mbaya ya kiko ujue 😂
Kuwa na imani na Wazee 😉tayali😅😅😅 ila babu khaaa ushanishinda tabia
haya mwambie mjukuu wako akuletee sasa🤣Kuwa na imani na Wazee 😉
Unajua kwa umri nilionao bila kuvuta Kiko zangu baridi litaniua babu yenu 🏃♂️🏃♂️
Huyo nitamwagiza aniletee chai ya Mwani, kuna mwaka niliwahi kunywa nikiwa na bibi yenu ilinifanya nijihisi nimekuwa kijana ghafla yaani 😜🏃♂️🏃♂️🏃♂️haya mwambie mjukuu wako akuletee sasa🤣
😀😀😀Kunywa kwa afya yako 😹
Hivi wanaume huwa mpo serious mnakunywa vitu sababu ya kwichy?
Kuna mwingine humu alisema anampakia vumbi mkewe NIKAOGOPAAA 😹😹
Mapenzi ni vita? Sio kwa kujikoki huko jamani mtachana vitumbua sasa lol!
hebu pita nikuone basi😇
Hebu tupiq basi 😀hebu pita nikuone basi😇