Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,588
- 83,136
Haina noma mwanetu!Nitakushtua kama sita kufa
Haina noma mwanetu!Nitakushtua kama sita kufa
Nakusalimia👀 iz zea enewani araundi tujitupie
mi sijambo kabisa sijui wew hukoNakusalimia
Vzr kama hujambo, mie mzima kabisami sijambo kabisa sijui wew huko
nafurahi kuskia hivyoVzr kama hujambo, mie mzima kabisa
😂😂😂Jamani shangazi wa mwadui umenunua blauzi mpya 😹😹😹
Sasa mbona mnafuta picha fasta hutaki tukusifie kwa kulevel up! 😹
Em achia phoro hilo waungwana tusuuze macho. Jiamini shangazi basi..!!
cocastic nimemiss kukuona udugu njoo uselfike darling Tayana-wog nipe mapicha ya mambele mi nataka kuiga fashooonn na pozi..!!
Chino anafungiwaga huko migombani juu ziwani, si anae anae naniiiii hukooo.😹😹😹 wewe muda wote unalima huna likizo?
Chino mi nakupa talaka na hiyo talaka lazima niikatie sare nije kuifata nishakuchoka..!! Mwanaume gani upo km kakakuona? Unaonekana kwa manati..!!
Tupia wewee NYC Bwoiii. 😂😂😂Huu uzi mbona hauna picha kabisa siku hizi, njoo uselfike
Nami nafurahi sana,kuona ukifurahi juu yangunafurahi kuskia hivyo
😂😂😂 chino una vibwekaaa weyeee, AlooohTwende tukaingalie Gemu ya chama langu la Arsenal hapo juma mosi nasikia wanna big screen.
Inabidi tuwe wote watoto wa Mariam saula wasije wakani paparukia! Na kunipeleka sijui kule wanapopaitaga V.i.p.
Weeh udugu usinambie!! 🙆♀️Chino anafungiwaga huko migombani juu ziwani, si anae anae naniiiii hukooo.
😂😂😂😂
Unalala sana mpk unapitwa nawe 😹😹😹😂😂😂
Nilichelewa wapiii jomoniii mahi, kumbe napitwaa na mambo mazurii huku, watu na blauzi zao za viwangoo,
Levels up beibiiii, 😂😂😂
Afu kwanini Mwadui sasa? Alooooh
Kaka mzuri anza wewe mimi nifate..!Huu uzi mbona hauna picha kabisa siku hizi, njoo uselfike
😹😹😹 Sitaki wewe si una mchepuko ziwani..!Hakuna sehemu nzuri nzuri!! Ulipie hata KIREMBA. Namimi nitulie town.
Si unajua baridi linakuja Hilo mwezi wa sita
Babu wa bei za jioni.View attachment 3597525
Hello weekend 🥂