Hahahaha,nitakufa shujaaUtakufwa vibaya wewe😂
aiseee😥 haujui wengine ni waoga
Leo nimekuwezaje!😅Hahahaha, sio vzr ujue ulichofanya

Leo komesha ya mapopo🤣Ntakudaka tu unajifanya mjanja sio
Hukipati win😝na mimi nakitaka😂😂
nitakiiba nakwambia 👌 kwanza sio kuiba ni kuchukua😇Hukipati win😝
Unapenda kujifanya wa kuja mfyuuu!!Hivi ambiance siku hizi ndo inaitwa valvet kumbe
😹😹😹 wewe muda wote unalima huna likizo?Kifo tu ndo kitatungenesha!!
Si unajjua mvua izo sisi watoto wa kulima! Nilikua sehemu mmoja inaitwa nyida.
Narudi nikakutana na kivumbi tu hahaha.
I miss you bila wewe chino si lolote
Kama nilikuhisi hivi si unajua mtu chake kumbe nilikua sahihi
Hakikutoshi, nilivyo libonge likubwa🫢nitakiiba nakwambia 👌 kwanza sio kuiba ni kuchukua😇
Pita naked.. wapo kazini maboss😎Humu kuna watu au tupite uchiiiii naked👀
🤣🤣 mi napita bhnaPita naked.. wapo kazini maboss😎
Bado upo bintiNimekaa ujue 🪑
Unatrendisha uzi mwenyewe🤣Bado upo binti
Huu uzi mbona hauna picha kabisa siku hizi, njoo uselfikeJamani shangazi wa mwadui umenunua blauzi mpya 😹😹😹
Sasa mbona mnafuta picha fasta hutaki tukusifie kwa kulevel up! 😹
Em achia phoro hilo waungwana tusuuze macho. Jiamini shangazi basi..!!
cocastic nimemiss kukuona udugu njoo uselfike darling Tayana-wog nipe mapicha ya mambele mi nataka kuiga fashooonn na pozi..!!
Tendea haki uziNimekaa ujue 🪑
Tunakusubiri upite tuone hata kivuli🤣🤣 mi napita bhna