Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,277
- 95,559
Hahahaha, nitanenepasitoruhusu tuwe mbali,, ni mwendo wa kugandana kama luba
Hahahaha, nitanenepasitoruhusu tuwe mbali,, ni mwendo wa kugandana kama luba
Unanijua ninavyojua kuidai mpaka utafunga pm poker🤣Kesho nlikuwa nataka nikufanyie surprise ya kipekee
1- hela ya kusuka 50k
2- hela ya kisinia na win 150k
3- hela ya kukuchatisha maana vidole vyako ni vya thamani 50k
4- na hela bundle 50k
sio kunenepa tu yaaan utanawiliHahahaha, nitanenepa
Hahahaha 😂,watanirogasio kunenepa tu yaaan utanawili
mlo wa lisaa limoja haikuzi tummy bwana🤣🤣 naomba usichezee bahati tuUnataka kuharibu flat tummy😂
nitakuwekea ulinzia hakuna atakae thubutu kuharibu ngome yanguHahahaha 😂,wataniroga
Khaa! Ngoja tuone asipoingia mitini, nitegemee kutoka kwa penzi lenu jipya hilo au nyie ni mapenzi tu kila mtu akale kwake?🤣mlo wa lisaa limoja haikuzi tummy bwana🤣🤣 naomba usichezee bahati tu
Sawa sawanitakuwekea ulinzia hakuna atakae thubutu kuharibu ngome yangu
Twende tukaingalie Gemu ya chama langu la Arsenal hapo juma mosi nasikia wanna big screen.Unapenda kujifanya wa kuja mfyuuu!!
Kwamba huijui au? 😹
Janja uwaki uta acha lini, kuuza embe kidogo una taka kunyoa barbershop na kuangalia mpira ghorofani.Twende tukaingalie Gemu ya chama langu la Arsenal hapo juma mosi nasikia wanna big screen.
Inabidi tuwe wote watoto wa Mariam saula wasije wakani paparukia! Na kunipeleka sijui kule wanapopaitaga V.i.p.
Hakuna sehemu nzuri nzuri!! Ulipie hata KIREMBA. Namimi nitulie town.😹😹😹 wewe muda wote unalima huna likizo?
Chino mi nakupa talaka na hiyo talaka lazima niikatie sare nije kuifata nishakuchoka..!! Mwanaume gani upo km kakakuona? Unaonekana kwa manati..!!
MKinga ni mtu mzito!! Huyu siwezi kumalizana nae kwenye miembe.bora nibaki na mbupu tu.Janja uwaki uta acha lini, kuuza embe kidogo una taka kunyoa barbershop na kuangalia mpira ghorofani.
Janja mida, acha niangalie stock market graph hapaMKinga ni mtu mzito!! Huyu siwezi kumalizana nae kwenye miembe.bora nibaki na mbupu tu.
Yayagete nyanda.
Uko vzrJanja mida, acha niangalie stock market graph hapa
We ni mtu mashuhuri hapa jukwaani?wanakujua maisha yako binafsi? Unaweza snap ka mkono, ka mguu au hata sura ukaweka na ki emoj kuficha ka pua mdomo hata macho.Naogopa mashushu😅
Sasa wewe unaweka tukiwa hatupo
Kwenye majukum ya kulijenga taifamnakuwa wapi?
Imeenda vizuri kama bado upo nitupie shemShesRise_1 jioni yako imeendaje? Niambulie hata kuona kucha basi.