Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,994
- 13,311
Yangu nitatuma ila sio sasa, nikianza kujpiga picha maswali yataanza kuwa mengiZamu yako selfika
Yangu nitatuma ila sio sasa, nikianza kujpiga picha maswali yataanza kuwa mengiZamu yako selfika
Labella umeelewa?Yangu nitatuma ila sio sasa, nikianza kujpiga picha maswali yataanza kuwa mengi
😹😹😹 Kuweka emoji kazi ujueOngezaa mrembo mkali 😁
Nimefuta Ila imebaki we angalia utaona.!!Kama umefuta picha hakuna ushahidi
Hakuna picha, nafuta comment piaNimefuta Ila imebaki we angalia utaona.!!
😹😹😹😅😅 Ambition plus anasema mmefungu njia ya kufika ulipo ili nichukue hiyo rangi matata
Sema basi tujue kazi yake 😹😅😅 au basi
Mbona mimi sina na kufuli nimeweka jamani..!!humu kuna watu na watu wao 😆
Makufuli lazima
Weka bana au unamuogopa wifi ataanza kukuuliza tukikusifia? 😹😹😹Yangu nitatuma ila sio sasa, nikianza kujpiga picha maswali yataanza kuwa mengi
Lini utatuma nijiandae kukuona?Labella umeelewa?
OkayHakuna picha, nafuta comment pia
😹😹😹 Kumbe?
na fanyia sana, hadi mtu anatetemekaa kama tetemeko la ardhi na hizi zingine za ziada 😁😁😹😹😹 Kumbe?
Na wewe unazifanyia hiyo kazi?
Kikubwa maisha yanasongaBinadamu utawaweza basi, wewe potezea..!!
Soon 😉Lini utatuma nijiandae kukuona?
Line yetu ya Ttcl ziliisha?Bill yako mkuu majukumu yako😃😃
Hizo za baadae 😃😃Line yetu ya Ttcl ziliisha?
Ana Hela za akiba huwa anatunza yeye anakataaje😂hebu aje kwanza alidhie ili nipate nguvu ya kuchagua 😄
Unakosea sasa😂🙌🏾Hizo za baadae 😃😃