Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu wanaoana humu jukwaani, umetendwa nini? Jf ni kama sehem yeyote ile kwenye jamii, unaweza kutana na mtu sahihi ama mtu mbaya yote yanawezekana
Sina mtu JF sasa natendwa vipi? 😹

Bana mi bado nna pic lako huku limenivuruga 🥰🥰

Hii ya Leo kiboko, aah kweli watu mko 🇺🇸 pic haidanganyi..!!
 
Back
Top Bottom