Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,549
- 7,619
Wala usijidogoshe, uko vizuri sana huyumbishwi na unampa mtu kile anachostahili..!!Hata ukubwa wa Punje ya haradali bado kabisa😃😃
Wala usijidogoshe, uko vizuri sana huyumbishwi na unampa mtu kile anachostahili..!!Hata ukubwa wa Punje ya haradali bado kabisa😃😃
umeipendaa ?Hii slipper nzuri 😻
umeipendaa ?Hii slipper nzuri 😻
kama ni Lamomy.. wewe nilikuahidi lini?😁Sio lamomy huyo ulimuahidi? 😹😹
No 39, tuma DHL sio mpk uje huku uswekeni.
Usije ukapata mafua ya ndege bure..!! 😹
Inabidi niitafute ile comment. La sivyo nitapigwa za kichwa nakumbuka hadi size aliniambia jina ndio nimesahau. Nyie wengine nitawafikiria ila sio sneakers🚶🏿♂️➡️🚶🏿♂️➡️Sio lamomy huyo ulimuahidi? 😹😹
No 39, tuma DHL sio mpk uje huku uswekeni.
Usije ukapata mafua ya ndege bure..!! 😹
Huyu hapa39 kiongozi si unajua pisi kali hatushindani na namba za wanaume 😹😹🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Huyu mtoto ni mkale sana kama ndo yeye kweli anastahili likes nyingi sana na aruhusiwe kufunga PM yake, niko tayari kumsponsor 😀😃😇😂😂😂
win-one chagua.hii imeisha imebaki black nayo ni kubwa l, options zingine hizoz sema ipi hapo utumiweView attachment 3589992View attachment 3589991View attachment 3589993
Yeah ni mkinga lakin unajua tunafata kwa mshua...Si umesema bi mkubwa wako mkinga?
Kumbe Mwaisa? Ndiomana una majibu km ChatGPT 😹😹😹
Wanyaki hawana nidhamu ya uoga na wanasimamia wanachokiamini..!!
Shukran mkuu🙏Wala usijidogoshe, uko vizuri sana huyumbishwi na unampa mtu kile anachostahili..!!
hebu aje kwanza alidhie ili nipate nguvu ya kuchagua 😄
Bill yako mkuu majukumu yako😃😃
Ana hela huyo leo najua kazitoa wap mkomalie atoe😃😃TTCL yake imeshibahebu aje kwanza alidhie ili nipate nguvu ya kuchagua 😄
Mkuu nipo nipp mwingi tuu katika harakati za hapa na pale aiseeee.Mkuu kitambo
😃😃😃Ndo maana umepotea jukwaanMkuu nipo nipp mwingi tuu katika harakati za hapa na pale aiseeee.
Ila nipo sana ni vile mashangazi wananifungia 😂😂🙌
Leo mapema kabisa baada ya kupika uji asbhi akatakoa.😃😃😃Ndo maana umepotea jukwaan
Leo vip wameenda kanisani nini😃😃