Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimeshindwa kumtaja hapa, nimekuja nikunong’oneze na wewe umefunga 😂. Mna hofu gani
😹😹😹 Tunaogopa kutekwa..!!
Ila mbona humu member wengi pm zao zipo wazi..!!

Mtaje kwa code mi nitamjua tu na ujumbe nitaufikisha bila tatizo na pm utafunguliwa..!!
 
Kesho jioni nikitoka kuhudumia wazalendo, nitapita hapo nikuchukulie, ulipotea hewani wakati nipo dukani hapo 🙂
Bana weeh nilikua nawasindikiza wageni.
Leo jpili mawinga tuko off hivyo tunapata wageni home..!!

Kesho nichukulie basi
 
Mambo kwa ushahidi, nioneshe comment nilioahidi jumanne natuma. DHL utalipa mwenyewe. 1KG inaweza karibia nusu ya bei ya kiatu ama zaidi
😹😹😹 Tutumie hiyo hiyo ya Lamomy inatosha..!!
Kwani bei ya kiatu shingapi?
Nataka nijue kabisa nalipia shingapi maana mkinga pesa naichungulia balaa..!!
 
😹😹😹 Tunaogopa kutekwa..!!
Ila mbona humu member wengi pm zao zipo wazi..!!

Mtaje kwa code mi nitamjua tu na ujumbe nitaufikisha bila tatizo na pm utafunguliwa..!!
kama utaelewa kila mtu ataelewa.. haya sasa ni wakati wa ku-selfika. Siondoki hapa mpaka utipie moja matata
 
Back
Top Bottom