Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umetuwakilisha vizuri watanzania wenzako?
Screenshot_2026-05-17_133443.jpg
 
Wakuu, kwanini baadhi ya watu siwez kuwatumia Private message? Ni uzee ama nakosea sehemu. Wakati wote napata jumbe “kumradhi kuna changamoto kidogo”
Ulikua unamtumia nani nikusaidie kumshawishi akufungulie 😹😹😹
 
Inabidi niitafute ile comment. La sivyo nitapigwa za kichwa nakumbuka hadi size aliniambia jina ndio nimesahau. Nyie wengine nitawafikiria ila sio sneakers🚶🏿‍♂️‍➡️🚶🏿‍♂️‍➡️
😹😹😹 Kwahiyo sisi utatuletea nini?
Bana nipe mimi hivyo vya Lamomy size zetu same..!!
 
Back
Top Bottom