Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ouyeaaaaah!!

Naomba uchague kati ya PS5, na [emoji385] ukasajiri wachezaji kwa eFootball, nipo kukuleteaa.

Jibu limenyooka na halina kipengere, labda awe nacho yeye.

[emoji122][emoji122][emoji122]
Twende Efootball kwanza tukajaze wachezaji🥰
 
Nzuri mno [emoji91][emoji91]
Ila li uduguu lizurii nyie [emoji3059][emoji3059][emoji3059]

Ila chain za vipepeo [emoji91]
Siku moja moja unakuwa unabadilisha, mimi ninayo yenye mkanda wa white japo napenda gold na silver za Rolex.
Hapa nasubiri saa, inatoka Sauzi, nilimuona mkaka alivaa nilishindwa kujivunga nikamuuliza, anasema yeye aliletewa na ndugu yake yuko mambelee .

Niliipiga picha, nikaichukua sasa nikamuonesha mtu akasema hata sauzi zinapatikana, ndo nikaagiza kuna Davoo anaendesha ma semi yanayoenda huko, nasubiri aniletee hapa.
 
Back
Top Bottom