Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,995
- 13,314
Stunning 😍Mid heels inanifaa km hii
Stunning 😍Mid heels inanifaa km hii
Brand ya Torino itakufaaa mtoto mzuri ? Nikuchulie na kikukuu 😊Mid heels inanifaa km hii
Mi mshangazi ujue usishtuke 😹😹Nimekuja
Awwww 😍😍Stunning 😍
Torino 😹😹Brand ya Torino itakufaaa mtoto mzuri ? Nikuchulie na kikukuu 😊
Yaani ndiyo nafika nakutana nayo nikasema waaah 😂😂😹😹😹 Chica kumbe upo?
Umeniotea 😹😹😹Yaani ndiyo nafika nakutana nayo nikasema waaah 😂😂
Torino 😹😹
Mi nataka channel bana..!!
Uje tule sasaMimi ni kulala na kulala tena
Nakumbuka ni mmoja tu ndio nimemwaidi, simkumbuki jina, ila mpaka sasa mmekuwa watatu. Haya na wewe ni mguu namba ngapi? Angalizo sijui narudi liniAwwww 😍😍
Halafu nakudai sneaker ulisema utakuja nayo mwaka huu..!! Unakumbuka?
Km kweli vile utavinunua 😹😹😹😊😊 channel wanauza center zipi ?
Torino ni wataliano hao nao wanakazi nzuri sana . cheki insta
Torino Tanzania (@torinotanzania) • Instagram photos and videos
Sio lamomy huyo ulimuahidi? 😹😹Nakumbuka ni mmoja tu ndio nimemwaidi, simkumbuki jina, ila mpaka sasa mmekuwa watatu. Haya na wewe ni mguu namba ngapi? Angalizo sijui narudi lini
Mie K.koo huwa siendi sasa, alafu utavaaje maronya ronya ya kkuuu mtoto mzuri kama wewe banaaa, angalia hapo Torino kimoja nitumie unachotaka 😊Km kweli vile utavinunua 😹😹😹
Channel za kkoo bana..!!
Channel bongo hawana duka mpk Dubai sehemu ya karibu..!!
Nimeangalia nimecheka, karibu vyote ninavyo aiseee..!! 😹😹😹Mie K.koo huwa siendi sasa, alafu utavaaje maronya ronya ya kkuuu mtoto mzuri kama wewe banaaa, angalia hapo Torino kimoja nitumie unachotaka 😊
Hata ukubwa wa Punje ya haradali bado kabisa😃😃Basi utakua unamkaribia 😹
Hii slipper nzuri 😻Mie K.koo huwa siendi sasa, alafu utavaaje maronya ronya ya kkuuu mtoto mzuri kama wewe banaaa, angalia hapo Torino kimoja nitumie unachotaka 😊
Me mwaisa mkuu😃Basiiiiiiiiiiiiiii mwalemi sito..!!
Si umesema bi mkubwa wako mkinga?Me mwaisa mkuu😃