Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,549
- 7,619
😹😹😹 Na mimi navaa 39 kiongozi..!!Muda wowote mwezi huu, nitakucheki wakuletee ulipo, kwa size hiyo hiyo yako
Cheko limenibana..!!
😹😹😹 Na mimi navaa 39 kiongozi..!!Muda wowote mwezi huu, nitakucheki wakuletee ulipo, kwa size hiyo hiyo yako
Shem wewe ni ChatGPT?Sijui kama ulishawai thibitisha hilo ila nipo hapa kwa muda mrefu... Hili ni theory kama theory nyingine hakuna mwenye proof zaid yake Coca.. (sote tunajificha kwenye kivuli cha Id Fake)
Pili nashinda nae Selfika kwa kiasi kikubwa anavyoselfika nimekuwepo kwa muda mrefu huwa naziona kama ingekuwa otherwise na kile nilichokiamini ningekuwa nimeshaongea...
Tupo tu tunasongesha maisha mkuu maana mtaan kugumu kdg unakuja kupiga story huku... Nothing serious.... kuwa Jf tumechagua kuwa Anonymous ibaki hivyo mwisho wa siku uhalisia anabaki nao mhusika mkuu...
Nadhan nimejielezea position yangu mkuu🙏
Mpelekee haraka huyu mwanaume ni wale wanaopatikana mara moja kwa karne..!! 🔥🔥Ouyeaaaaah!!
Naomba uchague kati ya PS5, na [emoji385] ukasajiri wachezaji kwa eFootball, nipo kukuleteaa.
Jibu limenyooka na halina kipengere, labda awe nacho yeye.
[emoji122][emoji122][emoji122]
Udugu leo jpili napika pilau njoo ukate salad 😹😹😹Mwenzako alikuomba uthibitisho kwa hayo madai yako, hujatihibitisha, unaishia kuweka maneno matupu.
Haya mueleze hapa jinsi unavyo nifahamu, nakupa ruksa na umpe picha zangu zilizo wazi, au laah umueleze nikoje ki muonekano.
Ili upate afueniii, hebu usivuke mipaka plz.
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu, una nini lakiniii?? Kanipa kwelii atii.Hiyo nimekataa alooo..!!
Huyo coca mi namjua angeshanipigia simu na sms ya muamala angefoward kunidolishia…!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Mtumie kweli uone
[emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo nimekataa uduguu [emoji81][emoji81][emoji81]
Nimecheka sana!!
Fanyaa kwani leo, nipate chochote kitu cha kufanya weekend yangu iishe poaa Mr,[emoji16][emoji16][emoji16] Utapitwa na mengi mrembo.. Amini tu, sasa hivi najiandaa next week apokee kitu kimoja matata..
Huyo mbishii muachee, em fanya leo pia, nimpe uthibitisho wa juzi na leo.[emoji16][emoji16][emoji16] toka lini na wewe umekuwa kama wachuuu wa kigomaaa kwa ubishiii au nani kakufundishaa kubisha
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu, kwamba mie ni lopo lopoo??Ukitoa waha kuna wakinga aiseee sisi ndio yule Tomaso hatukubali kirahisi..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Nakwambia hivi, coca ungemtumia huo muamala wala wewe usingetumia nguvu kuniaminisha. Yeye mwenyewe angepiga P.A hapa..!!
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu, ko hutaki kuaminii kabisaa.Kabisaaaaaaaa [emoji81][emoji81][emoji81]
Hiyo script yenu kaipangeni tena upya..!!
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu jamaniiiiMpo kudanganyana wenyewe [emoji81][emoji81][emoji81]
Hiyo no 44 una mguu wa King Kong?
Nakuambiaa Shem unae na unatambaa nae, [emoji8][emoji8]
Hatariii sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]Mpelekee haraka huyu mwanaume ni wale wanaopatikana mara moja kwa karne..!! [emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23] nakujaaa mahiiiUdugu leo jpili napika pilau njoo ukate salad [emoji81][emoji81][emoji81]
😜 weeh bado hujanipanga..!![emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu, una nini lakiniii?? Kanipa kwelii atii.
Fanyaa kwani leo, nipate chochote kitu cha kufanya weekend yangu iishe poaa Mr,
😹😹😹 Mara hii umeisha?[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu, kwamba mie ni lopo lopoo??
Kaweka kweli muamala, na ushaishaa atiii.
Nimekataaaa mpk Yesu arudi 😹😹[emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu, ko hutaki kuaminii kabisaa.