Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Najua nime.saidia kwa kiasi fulani, kama atashupaza shingo shauri yakeAchana nae huyoo. Kuna kitu anatafuta mpuuze. Lol
Najua nime.saidia kwa kiasi fulani, kama atashupaza shingo shauri yakeAchana nae huyoo. Kuna kitu anatafuta mpuuze. Lol
Nimehangaika na wewe miaka mingi kukubadilisha, unafikiri utanikatisha tamaa kirahisi tu?![]()
ila Cantri unachekesha hadi sio poaa. Poleee kwa kutesekaa Alooooh.![]()
Tupia
UkakimbiaTupia
NipoUkakimbia
Nilituma ukapoteaNipo
Hiyo nimekataa alooo..!!😅😅 Ulitaka aweke ubao wa matangazo pale Morocco
Hiyo nimekataa uduguu 😹😹😹Ko hutakiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuma sasa hivi nipoNilituma ukapotea
😁😁😁 Utapitwa na mengi mrembo.. Amini tu, sasa hivi najiandaa next week apokee kitu kimoja matata..Hiyo nimekataa alooo..!!
Huyo coca mi namjua angeshanipigia simu na sms ya muamala angefoward kunidolishia…!! 😹😹😹
Mtumie kweli uone
Yap, freaky SundayOnhoo kumbe!
😁😁😁 toka lini na wewe umekuwa kama wachuuu wa kigomaaa kwa ubishiii au nani kakufundishaa kubishaHiyo nimekataa uduguu 😹😹😹
Nimecheka sana!!
🙌😅Yap, freaky Sunday
Naijua hiyo 😹😹😹😁😁😁 Utapitwa na mengi mrembo.. Amini tu, sasa hivi najiandaa next week apokee kitu kimoja matata..
Nini sasa 😂
Ukitoa waha kuna wakinga aiseee sisi ndio yule Tomaso hatukubali kirahisi..!! 😹😹😹😁😁😁 toka lini na wewe umekuwa kama wachuuu wa kigomaaa kwa ubishiii au nani kakufundishaa kubisha
🇺🇸 boot 😻😻
Ankal wangu huyo 😻
Kabisaaaaaaaa 😹😹😹Uduguu hawezi amini, anataka hadi nioneshe uthibitisho.
Mpo kudanganyana wenyewe 😹😹😹Navaa 44 eti, [emoji23][emoji23][emoji23]