win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,876
- 30,179
ngoja nijitundike sumu ya pepsi kidogo nikalale Castle_Lite Selikavu
Shida ipo mkuuKwema mkuu...
Kuna shida mkuu??
Niulize kwanza hilo
Una rangi nzuri😍ngoja nijitundike sumu ya pepsi kidogo nikalale Castle_Lite Selikavu
yesu😅 sio yangu hiyo nimeiba watsp status ya mtu huko,, sa kwanini uisave CountrywideUna rangi nzuri😍
Picha yako nimeisevu
hebu kasali huko uache uzembe kijana😅Asee tunashukuru kwa Summary imenitosha hata kesho sitoenda church😃👋
Nimeipenda rangi, una upaja mzuri😍yesu😅 sio yangu hiyo nimeiba watsp status ya mtu huko,, sa kwanini uisave Countrywide
Sijui kama ulishawai thibitisha hilo ila nipo hapa kwa muda mrefu... Hili ni theory kama theory nyingine hakuna mwenye proof zaid yake Coca.. (sote tunajificha kwenye kivuli cha Id Fake)Shida ipo mkuu
Pata picha coca angekua ni mdogo wako alafu unaona kuna jamaa anamuita mpenzi, ungejisikiaje?
Usifikiri wale kina Noel, anko T au juma lokole ndugu zao wanapenda walivyo. Ni vile hawana namna. Tutumie muda mwingi kumshawishi coca abadilike na sio kuzidi kumfanya aendelee kuwa alipo. Wapo walioweza kutoka huko mfano Aggrey, hivyo hata coca inawezekana
😃 Mbinguni tutapewa mwili mpya😃ngoja nijitundike sumu ya pepsi kidogo nikalale Castle_Lite Selikavu
Mkuu nadhani hii ni against na rules za humu selfikaNimeipenda rangi, una upaja mzuri😍
Kusevu ni lazima, usiku kabla ya kulala lazima niiangalie
kabisa yani ila nikiumwa ujue sina pesa za matibabu ujiandae kupitisha bakuli😅😅😅😃 Mbinguni tutapewa mwili mpya😃
Hilo usijar😃kabisa yani ila nikiumwa ujue sina pesa za matibabu ujiandae kupitisha bakuli😅😅😅
Mkuu nilichokueleza ni ukweli kwa 100%Sijui kama ulishawai thibitisha hilo ila nipo hapa kwa muda mrefu... Hili ni theory kama theory nyingine hakuna mwenye proof zaid yake Coca.. (sote tunajificha kwenye kivuli cha Id Fake)
Pili nashinda nae Selfika kwa kiasi kikubwa anavyoselfika nimekuwepo kwa muda mrefu huwa naziona kama ingekuwa otherwise na kile nilichokiamini ningekuwa nimeshaongea...
Tupo tu tunasongesha maisha mkuu maana mtaan kugumu kdg unakuja kupiga story huku... Nothing serious.... kuwa Jf tumechagua kuwa Anonymous ibaki hivyo mwisho wa siku uhalisia anabaki nao mhusika mkuu...
Nadhan nimejielezea position yangu mkuu🙏
Nimefuta tayari, ondoa shaka😍sawa nimeona umeisave basi naomba uifute humu
Nimefuta tayari kuwa na amani. Tatizo hizi picha zinavutia sana, Leo usiku kazi ipoMkuu nadhani hii ni against na rules za humu selfika
Edit hapa imebakisawa nimeona umeisave basi naomba uifute humu
Kila la kheriNimefuta tayari kuwa na amani. Tatizo hizi picha zinavutia sana, Leo usiku kazi ipo
Karibu selfika akiselfika nitakutag🙏Mkuu nilichokueleza ni ukweli kwa 100%
Hata yeye mwenyewe amesema mara nyingi tu kuwa ni "kidampa"
Ukikataa hilo unakua unazidi kuweka wasiwasi na pia unamfanya aendelee kuwa alivyo
Mkuu si kwa ubaya Ila nakupa ushauri tu kama utauchukua sawa na ukikataa sawa pia. Najua Vita ya lgbt sio rahisi lakini usiingie kwenye mahusiano nao
Ushauri wangu kuhusu coca naomba uufanyie kazi🙏Kila la kheri
Nadhan ulielewa Replay yangu mkuuUshauri wangu kuhusu coca naomba uufanyie kazi🙏