aise kwangu mimi somo la kiswahili lilikuwa ni tatizo na nilishaachana nalo tangu nilivyomaliza o level,, nilikuwa silipendi somo la hesabu lakini a level nilikuwa tayari nikasome hesabu kuliko kiswahili..
Daah nilijua tu umri wangu ukijulikana humu watu wengi watakataa nifahamiane nao,, sawa tu nitaishia kufahamiana na 'watoto wenzangu' kina Saint anne na Depal