JF nimeijua 2015 nikiwa 4m 3 Ila sikuwa na simu wakati huo, nilikuwa naangalia kupitia simu ya kaka, na niliapa lazima nije kutumia JFDaah hizi dharau sasa,, mie nina sura ya kiutu uzima eti..
Kwa mara ya kwanza nilipewa simu mwaka 2014 mwanzoni kipindi cha likizo ya kumaliza form 4 tena ni baada ya matokeo kutoka,, ila JF nimeijua muda sema basi tu..
Najiona kabisa nikienda huko siasani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah mkuu soon tutahamia majukwaa magumu kama zamani...tukapambane na stress huko
Hahaha
Naona walau imebidi ujifaraji.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ni wazo linakuja tu unajikuta umeandika ID ya ajab ajab
Utakuwa unagaa gaa na upwa(Pwani) huku wahitaji kula sato. Hivyo lazima ule wali mkavu. Badili uelekeo kagae gae Victoria.Pamoja na yote na bado nakula wali mkavu!
JF nimeijua 2015 nikiwa 4m 3 Ila sikuwa na simu wakati huo, nilikuwa naangalia kupitia simu ya kaka, na niliapa lazima nije kutumia JF
Kwa hiyo ukatoa Atoto ukaweka jina nyingine ya mtoto...Ni jina la mwanafunzi wangu kipenzi. She is very bright and very humble. Nilipoona mnaniona mtoto kwasababu ya jina nikaamua kubadili na jina lake ndilo likanijia akilini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aahh kaka naomba tusifikie kwenye assumption ya namna hiyo,, mie mtu alienizidi kuanzia miaka 28+ ndiyo angalau naweza nikamuona kama mzazi wangu.. wengine tusameheane tu yakhee
Hii mbona kama train station??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kweli yutoto.
Sasa mbona hukutokea? Viatu vyako nilimuachia mlinzi wa fish fish.
Hahah...nimeghairi kupatana na wewe hakyamama
Heheh...labda zile za Kenya
Jael, unaona sasa umekuwa na aidii yenye kuaminisha kifanyio chako ni me...haya hebu rudisha ile ya zamani
malizia na miaka 2 [emoji16]Aiseee,, thank you for the information Mr. Sanchez.. ila afadhali wakati Nyerere anafariki nilikuwepo
Hahah ngoja nikutafutie avatar fulani amazingHii ndio nzuri mkwe, tena na avatar hiyo hiyo ili utata uendelee.