Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,810
- 40,567
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ipi hiyo?
Tutoto
Nchi gani hiyo
Ni katoto sana bado kwangu. [emoji3][emoji3]
Hahah mkuu soon tutahamia majukwaa magumu kama zamani...tukapambane na stress hukoMtunane tunacheza na watoto jamvini, inatufanya tufurahie maisha zaidi[emoji39][emoji39]
Mkuu mwalimu nyerere anavyong'atuka madarakani asilimia 87% ya watanzania pamoja na Mimi binafsi hatukuwa tumezaliwa.Naomba uweke takwimu ya 1985 wakati Mwalimu Nyerere anang'tuka.
HahahaAiseee,, thank you for the information Mr. Sanchez.. ila afadhali wakati Nyerere anafariki nilikuwepo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ni wazo linakuja tu unajikuta umeandika ID ya ajab ajab[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787] "natoka hapa"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tutoto
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Looh
Una gaagaa na upwa upi huu?
Pamoja na yote na bado nakula wali mkavu!Una gaagaa na upwa upi huu?
Mxhua alimpa Uhuru babu kuendelea na kazi yake ila wanajamii wakaanza figisu kuwa anawasimanga wao haiwezekani babu ageme ulanzi wakati yeye ana uwezo huko ni kuwasimanga wengine, mxhua akaona isiwe tabu akampiga xtop daddy ake,Hahahaha, lkn si ndio imemsomesha na kuumpa hy status ? Ila sio mbaya acha babu nae ale matunda ya mshua wako
[emoji1735]Okee Okee
Basi humu ndani me niwe mpole tu, under 20 peke anguInasikitisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Angalau basi nitaniane na 26+, ilà kibaiolojia natakiwa nitaniane na 30+[emoji39][emoji39][emoji39]