Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mzabzab ana ujinga km huu ujue 😹😹
Huyu mwenyeji kaamua kuja na id mpya afanye illegal fishing..!!

Afu nyavu zake zina matobo madogo anataka kuvua hadi dagaa..!! 😹😹
nyie achane fananisha watu, hampo karibu hata kidogo katika kunihisi wala kunifahamu
 
Junior huyo bado hata hatumuwazii kumfanya awe Proffesional Engineer, na anavyo nikazia huku, kwenye panel nitamkataaa kama maji 😁😁😁
😹😹😹 Dah!
We mjinga umetuweza wambea leo, nikilijua parody la nani hili nitakuchamba ujue..!!

cocastic anajua km umesomea Engineering kazi unayo..!! 😹
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Dah!
We mjinga umetuweza wambea leo, nikilijua parody la nani hili nitakuchamba ujue..!!

cocastic anajua km umesomea Engineer kazi unayo..!! [emoji81]
Mie hadi sahivi ninahisi watu 2, hawa ndio nahisi kabisaa.
[emoji23][emoji23][emoji23] na amejua kutuweza, si aseme I'd take ya zamani jamaniii.
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Katumwa huyu sio bure.
Nilikua namuona toka jana na reactions zake kule jukwaa la siasa. Nikajua ipo jambo..!!
Kumbe katokea jukwaa la siasa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa tukimbie kabisaa. Lol
 
Huwezi kunidakaa namna hiii.
Tuma account mrembo.. kunijua ni ngumu, ila jua nipo kwenye body ERB sasa upangiwe niwe .... huipati ng'o PEng 😁😁
Wewe ni MWEUSI acha kutufanya wajinga hapa 😹😹😹
 
Back
Top Bottom