Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Njoo PM sasa, alafu mie hata sitaki email wala namba ya simu. Bali nipatie tu account ya number basi.. nikuwekee mapesa, ningekuambia LIPA NAMBA ila hiyo ita funua uhusika wenu [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] Shem mbona unaanza kunilainishaa? Vibaya hivyo ujue?
Haya kaoneshe huko PM hizo dollars, awww
 
Wee jamaa I’d yako maarufu ipi? 😹😹
Maana una details zote za humu mtsiewww!!
Junior huyo bado hata hatumuwazii kumfanya awe Proffesional Engineer, na anavyo nikazia huku, kwenye panel nitamkataaa kama maji 😁😁😁
 
Junior huyo bado hata hatumuwazii kumfanya awe Proffesional Engineer, na anavyo nikazia huku, kwenye panel nitamkataaa kama maji [emoji16][emoji16][emoji16]
Tayariiiiiiiiiiiiii nisha kudakaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbee ni weweee!!
 
Umejuajee? Toka mda nilisema huyu sio mgeni hapa Jijini selfika, ndo nili target Mzabzab au Wige. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzabzab ana ujinga km huu ujue 😹😹
Huyu mwenyeji kaamua kuja na id mpya afanye illegal fishing..!!

Afu nyavu zake zina matobo madogo anataka kuvua hadi dagaa..!! 😹😹
 
Tayariiiiiiiiiiiiii nisha kudakaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbee ni weweee!!
Huwezi kunidakaa namna hiii.
Tuma account mrembo.. kunijua ni ngumu, ila jua nipo kwenye body ERB sasa upangiwe niwe .... huipati ng'o PEng 😁😁
 
Mzabzab ana ujinga km huu ujue [emoji81][emoji81]
Huyu mwenyeji kaamua kuja na id mpya afanye illegal fishing..!!

Afu nyavu zake zina matobo madogo anataka kuvua hadi dagaa..!! [emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] sijui nachekaa ninii atiii, woiiiih
 
Huwezi kunidakaa namna hiii.
Tuma account mrembo.. kunijua ni ngumu, ila jua nipo kwenye body ERB sasa upangiwe niwe .... huipati ng'o PEng [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa utajuaje km ndo mie? Ukute nishapita huko tayarii? Na ulishanisarandia manuvaa.
 
Back
Top Bottom