Selfika na JF: Snap it. Show it

Hiyo jacket kali beibeyyyy 😍😍
Halafu mbona kama code zetu tunamatch darling πŸ”₯πŸ”₯

Umeona na mimi napenda kupiga hoodie 😹
Hizo ni uniform z kaz, hospitality industry ni mwendo wa uniform hadi mameneja wanavaa colour zinazoendana na brand colours. So hakuna kutoka nje ya codes ukiwa kazin
 
Hizo ni uniform z kaz, hospitality industry ni mwendo wa uniform hadi mameneja wanavaa colour zinazoendana na brand colours. So hakuna kutoka nje ya codes ukiwa kazin
Kumbe ni uniform? 😹😹
Basi kazini kwenu mna codes za kibabe.
Boss wenu mtu wa taifa gani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] utakufa mdomo wazi wee. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…