Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeaaah!! Ndio maeneo hayo hayo nilikua nakuona, pindi nafika pale Mr Classic hair cutz salon,
Umetisha sana mwanakwetuu, kumbe tunapishana njiani na tuko JF wotee.
Aiiiih.
Ooh jamani😅😅 mbona ulikua unistui sasa…

Itabidi siku tukale mbuzi chanta
 
Jirani 🥰🥰🥰🥰
Hii ndo selfika sasa vitu vikali, rangi zimepoa 😍

Jirani nnaye na natamba nayeeee 🤸‍♀️
Tulimiss hivi vitru muwe mnatupia jamani.

Nyanda za juu kusini stand upppppppp
Serious jirani bado ipo,. Naomba nisaidie kufuta hii comment basi please 🥹🙏
 
Na hivi hawajawahi kuniona wametega kwenye kona wanione alooo!! [emoji81][emoji81][emoji81]

Sina pic mpya ngoja niangalie video ya jana nilichukua nikiwa live band si unajua mi siogopi dudu wala mende narusha wachanganyikiwe wenyewe…!! [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom