Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aje Tin jamani..
Tin wanaselfika tunakuomba uje tumemiss uzungu wako..!! [emoji3059]

Niliwahi kumfananisha na rafiki yangu kwa ile tone yake ya uhandishi..
Tin afanye kujaa jamanii, hana baya kabisaa, si alitoka kwa kumuogopa yule Rabbit, aaah
 
Sawa zile sio zangu, nilete hizo zangu OG mlizonazo mana inaonekana mnanijua kuliko mm mhusika nnavyojijua 😂
😹😹😹 Na Mimi nilikua nasubiri km wewe zije OG sijui ulimtumia nani huko ili tuzione..!!
 
Kwan zile Pic zina maajabu gn mpaka useme sio mm yule?

Au ulitaka Pic za namna gn ili ujue yule n mm?

Au ww unanijuaje mpaka useme yule sio mm?

😎
Nimeona wewe ni Gentleman lakini nikasikia zile umetupiga kuna watu wanazo zako OG ndo nasubiri ziwekwe nikuone tena kwa Mara ya pili..!! 😹😹
 
Sawa zile sio zangu, nileteeni hizo zangu OG mlizonazo mana inaonekana mnanijua kuliko mm mhusika nnavyojijua [emoji23]
Em tulia mparee, watu wanakujua kuliko unavyojijua, unaogopa nini? Kwani uongoo?? Lol
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom