Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23] Mabwana wa JF nawaweza ila sio wa uke wenzaa??
yaan mie ndo Main Chick. Ndio maana sina shengeshaaa.

Wanaume wako uraianii mahiii, ni wakalii kikudaaa. Awww!!
Hekaheka za mabwana wa JF sizitaki. 😹😹
Raha ya kuwa na bwana JF akuweke public lakini anakuficha km bomu ndo nini??

Mi nnaye wangu huku uraiani hata JF haijui inafananaje 😹😹

Na Jana tulikuwa wote down town live band
 
Hekaheka za mabwana wa JF sizitaki. [emoji81][emoji81]
Raha ya kuwa na bwana JF akuweke public lakini anakuficha km bomu ndo nini??

Mi nnaye wangu huku uraiani hata JF haijui inafananaje [emoji81][emoji81]

Na Jana tulikuwa wote down town live band
"Raha ya bwana JF akuweke Public, sio kukuficha km Bangii"
Umetishaa mtaniiiii!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kombe ni langu na nimechukuaaa!! Hiii imeendaaaaaaaa!!!

Watuuu weuweeeeeeeeeeeee!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
JF inachekesha ikiwa huna shengesha za mipodido PM na varangati za uke wenzaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sana, JF ukitaka kuiona chungu we weka mpodido pm na date wanaume wa humu lazima upandishe kisugar 😹😹😹
 
Sana, JF ukitaka kuiona chungu we weka mpodido pm na date wanaume wa humu lazima upandishe kisugar [emoji81][emoji81][emoji81]
Shida sio wanaume wa humu mahii, ni wee mwenyewee unadate na mwanaume yupii? Km ni zoa zoa kuliko sabuni enyewe, basi kupandisha gkukosi ni kugusa tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Majiraniiiiiii hukuuuuuu!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mida ndo hii sisi tumejaa tele, mambo ya kutupia watu tuko offline hatutaki.

Anayejiamini hapigi kelele, kijora cha buku mbili unajikuta mayeleeee [emoji81][emoji81]

Haya waweke tuone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu taratibuuuu.
 
"Raha ya bwana JF akuweke Public, sio kukuficha km Bangii"
Umetishaa mtaniiiii!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kombe ni langu na nimechukuaaa!! Hiii imeendaaaaaaaa!!!

Watuuu weuweeeeeeeeeeeee!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuishi humo.
Na raha ya bwana wa JF awe na pesa na star 😹😹😹

Hao wengine GUDUBAI
 
Back
Top Bottom