Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndugu yako huyo jirani yangu..!!
Trotroo limenyooka halijpinda wala halina konakona..!!
Jamaniiiiii Mdada ni mzuriiiii, rangii, msuko simple, lips, umboo, casual outfits, awwwww!!
Kabaruzaaaaa [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Jirani [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Hii ndo selfika sasa vitu vikali, rangi zimepoa [emoji7]

Jirani nnaye na natamba nayeeee [emoji2222]
Tulimiss hivi vitru muwe mnatupia jamani.

Nyanda za juu kusini stand upppppppp
Ouyeaaaaah!!! Southern highlands!! Hatokagiiii Phaller!
Mambo ni hivii [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Jamaniiiiii Mdada ni mzuriiiii, rangii, msuko simple, lips, umboo, casual outfits, awwwww!!
Kabaruzaaaaa [emoji91][emoji91][emoji91]
Kabaruzaaaaaaa hana kipengere.
Outfit casual afu classic nampa 10/10

Awwwww jirani yangu 🔥🔥🔥
 
Kabaruzaaaaaaa hana kipengere.
Outfit casual afu classic nampa 10/10

Awwwww jirani yangu [emoji91][emoji91][emoji91]
Yaan mlongo angu kanyooka hana kona konaa, kipengele awe nacho shem.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom