Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jirani 🥰🥰🥰🥰
Hii ndo selfika sasa vitu vikali, rangi zimepoa 😍

Jirani nnaye na natamba nayeeee 🤸‍♀️
Tulimiss hivi vitru muwe mnatupia jamani.

Nyanda za juu kusini stand upppppppp
Woiii🙈
 
mnooooo🤣🤣 ila nilijua nipo pekeangu jamni
Haya pita chap nipate uhakika kabla sijavuta kitu😌
4027D25D-A782-4F5B-810D-B7C6E70CE13A.jpeg
 
Yeees bombambili pale ghorofani kwa Njau[emoji23][emoji23][emoji1316]
Yeaaah!! Ndio maeneo hayo hayo nilikua nakuona, pindi nafika pale Mr Classic hair cutz salon,
Umetisha sana mwanakwetuu, kumbe tunapishana njiani na tuko JF wotee.
Aiiiih.
 
Back
Top Bottom