Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwan zile Pic zina maajabu gn mpaka useme sio mm yule?

Au ulitaka Pic za namna gn ili ujue yule n mm?

Au ww unanijuaje mpaka useme yule sio mm?

[emoji41]
Mpare utume pic zako OG, kumbe wee ni kafupi, kabonge, na keusi tii.
Sasa zile ulitoa wapiii? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afu sikuona hizo reply za kusema Pic sio zangu.

Anyway, wao ndo waweke hizo pic ambazo n OG mana wananijua kunizid mm
😹😹😹 Nimecheka sana!!
Bana tushavuka hizo level, em tupia pics zingine mi nimemiss kuona wakaka wazuri wa JF.

Halafu nimeambiwa wewe bwanaangu ujue 😹😹

Yani humu kila bwana napewa Mara babu Grahams khaaaa..!! 🤣😹

Siku wakimjua bwanangu watakua shocked mana anawachora tu!
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Nimecheka sana!!
Bana tushavuka hizo level, em tupia pics zingine mi nimemiss kuona wakaka wazuri wa JF.

Halafu nimeambiwa wewe bwanaangu ujue [emoji81][emoji81]

Yani humu kila bwana napewa Mara babu Grahams khaaaa..!! [emoji1787][emoji81]

Siku wakimjua bwanangu watakua shocked mana anawachora tu!
Umtoe wapiiii?? Usitutishee uduguu, aiiiih [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tin afanye kujaa jamanii, hana baya kabisaa, si alitoka kwa kumuogopa yule Rabbit, aaah
Warudi wote na rabbit tumewamiss kwanza yale yashapita..!! Halafu kaka rabbit jamani nimemmiss sijui anatumia id gani ss hivi? 😥
 
Warudi wote na rabbit tumewamiss kwanza yale yashapita..!! Halafu kaka rabbit jamani nimemmiss sijui anatumia id gani ss hivi? [emoji26]
Mie nataka arudi Babu miga, yaan ntafurahi hatarii [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom