Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umtoe wapiiii?? Usitutishee uduguu, aiiiih [emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹😹
Kwani nyie mmewatoa wapi?

Sema mabwana wa JF nimewaachia nyie mnaoweza kupambana na uke wenza uduguu..!! Sitaki kuletewa mpodido wangu hapa nikatisha waungwana..!!
 
Nimefurahi sana! Naomba na leo upite basi ma mkali😁 sema nini upite mapema mida hiyo wengine tunakuwaga tunasinzia tumeshikilia tu simu si unajua uzee😊
Wala usijali 😊, nikipita nitakushtua
 
Back
Top Bottom