Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
Oya mwacheni ndugu yangu, apumzike kwa amani😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹
Babu Migambuti jamani dah! Kitambo sana 😹😹
Uduguu umenikumbusha wayback enzi kichwa kipo moto. Team Antonia kindakindaki
Ila ile vita tuliipiga mpk babu Miga akasepa mazima..!!
Babu Miga kokote ulipo njoo sasa hivi tumekua mabinti wenye adabu. Tumekumiss wenzio
Nimekumbuka alivyokutafutia kazi afu kazi yenyewe hamna 😹😹😹