cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,399
- 188,145
Unaogopa nini? Wee ni Msichana was kwendaa, huna kipengelee, labda wawe nacho waoo. LolSawa na iwe hivyo [emoji2296]wengine hekaheka za Jf hatuwezi
Unaogopa nini? Wee ni Msichana was kwendaa, huna kipengelee, labda wawe nacho waoo. LolSawa na iwe hivyo [emoji2296]wengine hekaheka za Jf hatuwezi
And I shall be there to bear witness of the queen wearing the crown.Mpaka siku nyingine
Hapa sawa, nilifikiri unataka nifute kwenye simu yangu😩Hapa na usipost tena nakuomba 🙏
😹😹😹😹 Uduguu Umeanza kunifanya nionekane chizi ujue..!![emoji23][emoji23][emoji23] ila JF ukikaa vibayaa unajikuta unaweka mpodido wako kwa pm ya mtu na hujaombwaa, wakaka ni wazurii humuu.
Awwwww!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana Dear 😍😍Wee ni mzureeee [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji91][emoji91]
Afu nikuulize Dear, hivi Rasi hadi kuwa km zako ni mda gani?
Maana kuna mdada alianza kufuga, baada ya km mwaka na kdg akazitoa na hapo hazikua kubwa.
Hakuna 😹😹Nisamehen
Ila Jf shikamoo🙌 sirudii tena nimekomaHapa sawa, nilifikiri unataka nifute kwenye simu yangu😩
Kabisa asee hizi hekaheka shengesha wanaweza kina coca na lamomy na fake p🤣Sawa na iwe hivyo 🙆♀️wengine hekaheka za Jf hatuwezi
Utafanya niposti mashine sasa, we mwenyewe selfika tuoneHaya tupia basi 😻
Usinambie nimepitwa tena chica 😹😹Asante sana Dear 😍😍
Zangu nina miaka 6 sasa ndiyo zina urefu huo
Duuh kumbe yahitaji uvumilivu eeeh? Vipi utunzaji, na nasikia pia kuna baadhi ya vyakula haitakiwi kutumia? Je ni kweli?Asante sana Dear [emoji7][emoji7]
Zangu nina miaka 6 sasa ndiyo zina urefu huo
Simu ina gb 256 unafikiri bila kusevu hizi picha itajaa vipi binti?🤣Ila Jf shikamoo🙌 sirudii tena nimekoma
🤣🤣 naogopa hekaheka za Jeifu nisije anza kulia bure na hivi siwez jielezeaUnaogopa nini? Wee ni Msichana was kwendaa, huna kipengelee, labda wawe nacho waoo. Lol
Unazngua broKwenye simu au hapa?
Una mpaka na mchepuko humu wakati mimi hata bwana wa kuzugia sina 🙆♀️😹😹Boss kubwa huyo si OG sasa huyu ni mchepuko, wa kuitwa R ni lizuri hili likaka, Limeru la kutoka Chugaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona Felista, [emoji23][emoji23][emoji23]
Umeanza uchawi?Unazngua bro
🤣🤣 Ni ile ile sijui Coca kaona kwa nani?Usinambie nimepitwa tena chica 😹😹
😹😹😹😹 Hujaona ile iliyopita ungechizikaQumamaqe ni lizuriiii hili likaka la kipareee, [emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23] hatariiii wakaka ni wazuriii humuu, nguvu ya kukataa kuweka mpodido unatoa wapiii? Aweee!![emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] Uduguu Umeanza kunifanya nionekane chizi ujue..!!
Hapo kwenye mpodido pm ndo hataree [emoji1787]
Watu waliweka bila kuombwa Halafu wakabaki kila mmoja anatazama wa mwenzie wanaume wa pm wapuuzi sana [emoji81][emoji81][emoji81]
😀😀okay just waitAnd I shall be there to bear witness of the queen wearing the crown.