Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Duuh kumbe yahitaji uvumilivu eeeh? Vipi utunzaji, na nasikia pia kuna baadhi ya vyakula haitakiwi kutumia? Je ni kweli?
Ndiyo inahitaji uvumilivu, sema mimi nazipenda, Utunzaji wake gharama kidogo zikiwa ndogo, zikishakuwa ndefu hivi gharama zinapungua

Kuhusu Vyakula ni kwa wale wenye imani yao mimi binafsi nyama nakula vizuri tu sababu ni kama nywele tu za kawaida.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hatariiii wakaka ni wazuriii humuu, nguvu ya kukataa kuweka mpodido unatoa wapiii? Aweee!!

Nimemiss kina Babu miga na Wige, sijui wamepotelea wapi na mavazi yao mengine humu hatujafanikiwa kuyadaka. Lol

Umesahau Babu miga heka heka zake? [emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹

Babu Migambuti jamani dah! Kitambo sana 😹😹

Uduguu umenikumbusha wayback enzi kichwa kipo moto. Team Antonia kindakindaki

Ila ile vita tuliipiga mpk babu Miga akasepa mazima..!!

Babu Miga kokote ulipo njoo sasa hivi tumekua mabinti wenye adabu. Tumekumiss wenzio

Nimekumbuka alivyokutafutia kazi afu kazi yenyewe hamna 😹😹😹
 
Ndiyo inahitaji uvumilivu, sema mimi nazipenda, Utunzaji wake gharama kidogo zikiwa ndogo, zikishakuwa ndefu hivi gharama zinapungua

Kuhusu Vyakula ni kwa wale wenye imani yao mimi binafsi nyama nakula vizuri tu sababu ni kama nywele tu za kawaida.
Natamani sanaa niwe na Rasii, nweiii nitakapokuwa tayari nitakufata unipe muongozo sahihi. [emoji120]
 
Back
Top Bottom