Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Keleuwiiiiiiiiiii nyie selfika imerudi ipo mikono salama. Hizi pic za leo Tayana utafanya tulale huku tuna smile ndotoni 😻😻😻

Miss selfika wetu umetishaaaaaa 🔥🔥🔥
🤣🤣🤣😎unajua kupamba km kweli vile
 
Nimekuham pia my wii kaka hajambo natak mchepuko wa zamani mpya hekaheka sitaweza 😂😂
Wewe nilikwambia tulia kwa bro upewe mapenzi ya kikinga. Ukadanganyika ukakimbia 😹😹😹

Mumeo yupo anakusubiri na kuna siku aliniulizia, hivi yule shosti ako uliyesema utaniweka mbona kimya? Nikamwambia alipata scholarship yupo Canada 😹😹
 
“Kamsemee kwa babaake” 😹
Hapo mimi nitajiweka iwe anataka au hataki.
Hatuwezi kuwaacha wakaka wazurii km hawa wapite tu km upepo..!! 😜
We uliona wapi wakaka km hao wanaachwa....in bwege voice😃😃😃
 
nasubiri ushushe vitu
Kitambo sn sijakuona[emoji41][emoji2]
Ila coca eti seva za jf zitingishike
Wallah hata modes wenyewee Leo hapo Mikocheni JF HQ wanakenua tuu kuona membazi wao wa viwango wanawakilisha selfikaa.
[emoji91][emoji91] [emoji23][emoji23][emoji23]
 
“Kamsemee kwa babaake” [emoji81]
Hapo mimi nitajiweka iwe anataka au hataki.
Hatuwezi kuwaacha wakaka wazurii km hawa wapite tu km upepo..!! [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23] haiwezekaniii, lazima wapewe faraja na tulizo la nafsi zao.
 
Wewe nilikwambia tulia kwa bro upewe mapenzi ya kikinga. Ukadanganyika ukakimbia 😹😹😹

Mumeo yupo anakusubiri na kuna siku aliniulizia, hivi yule shosti ako uliyesema utaniweka mbona kimya? Nikamwambia alipata scholarship yupo Canada 😹😹
My wii canada hii au hii ya nanjilinjj usinipeperushie ndegewangu Mungu kanipa nyongeza mm ni nani nimkatae kiumbe wake😂😂😂
 
Back
Top Bottom