Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie kwenye usafi wa kinywa niko vizuriii, mama alikua anatunyoosha kuhusu kupiga mswaki, na kuoga. Ko hadi ukubwani nazingatia sana usafi wa kinywa. Na hivi napenda kucheka cheka, aww.

Kuna mtu aliwahi kunipenda eti kisa meno yangu, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona kma unanisema mimi kuna kijana huku mtaani akicheka nasema hii jamani dental formula nyie wenzetu vipi mbona sisi km panya au ndo wale wa dakika za jiooon 😂😂😂
 
🤣🤣🤣🏃🏃🏃eti ba mtumishi duh nimecheka sn
Labella
kwakweli anajua kutunza ba mtumishi🤣🤣
Keleuwiiiiiiiiiii nyie selfika imerudi ipo mikono salama. Hizi pic za leo Tayana utafanya tulale huku tuna smile ndotoni 😻😻😻

Miss selfika wetu umetishaaaaaa 🔥🔥🔥
 
Mbona kma unanisema mimi kuna kijana huku mtaani akicheka nasema hii jamani dental formula nyie wenzetu vipi mbona sisi km panya au ndo wale wa dakika za jiooon [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] yule mtu eti alinipenda kisa meno yangu, yaan daah.
 
Keleuwiiiiiiiiiii nyie selfika imerudi ipo mikono salama. Hizi pic za leo Tayana utafanya tulale huku tuna smile ndotoni [emoji76][emoji76][emoji76]

Miss selfika wetu umetishaaaaaa [emoji91][emoji91][emoji91]
Afu kajazia hips, yaan shape iko sehemu yake, umbo no 6. Chezeaa wewee.
Mama mtumishi ni [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom