cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,998
Nimepitwaa mie leoo, dooohWakaka wa humu mnavaa kitu cha leather VAns [emoji76][emoji76][emoji91][emoji91][emoji91]
Pacha hiyo code ya moto sana [emoji76]
Nimepitwaa mie leoo, dooohWakaka wa humu mnavaa kitu cha leather VAns [emoji76][emoji76][emoji91][emoji91][emoji91]
Pacha hiyo code ya moto sana [emoji76]
[emoji23][emoji23][emoji23]Wote nishaedit tayari, watoto wa kiume mnaogopa ogopa nini bana [emoji81]
Mbona unyama mwingi hizo pic ndo tunahitaji warembo kuboost mapenzi bila pesa..!! [emoji81]
Ngoja arsenal achukue ubingwa tuoneJamaniii Mbaga Jr na Intelligent businessman naomba muweke picha zenu tenaa, mie sikuwepoo. Lol
Umeanzaa, em rudia ya leo bhana, woiiih.Ngoja arsenal achukue ubingwa tuone
Weee acha tu humu JF kuna wakaka wazuri afu hawaringi. 😹Nimepitwaa mie leoo, doooh
Wakubless ujionee udugu wangu. 😻Jamaniii Mbaga Jr na Intelligent businessman naomba muweke picha zenu tenaa, mie sikuwepoo. Lol
Acha uchoyo mbless mwenzio huko 😹😹Ngoja arsenal achukue ubingwa tuone
Usiniambieee? Ana faa kwa matumizii?? [emoji23][emoji23][emoji23]Weee acha tu humu JF kuna wakaka wazuri afu hawaringi. [emoji81]
Km huyo intell katupia Vans ya kwendea
Si wakujee bas khaaah,Wakubless ujionee udugu wangu. [emoji76]
[emoji23][emoji23][emoji23]Acha uchoyo mbless mwenzio huko [emoji81][emoji81]
Afu kumbe kuna watu kumbe wananuna ninavyowasifia??
Si waje huku nao waselfike tuwasifie jomoonii hawajiamini? [emoji81]
Hulali[emoji23][emoji23][emoji23]
Shangaziii nilalee wapii, afu fanya unibless na ka picha matata sanaa.Hulali
Uzi hauna pics kabisa, mkawii kusema viwalo vya buku 3[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona kuniwah weka meno yale meupe bhana yani yamenishawishi na mm nikaweke senyenge sasa😂Shangaziii nilalee wapii, afu fanya unibless na ka picha matata sanaa.
Nimemic kukuonaa, [emoji8][emoji8]