Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,433
Bado siion
Haya familiaSion Kitu bro, Fanya upost then usubir Mpaka niione
Bado siion
Haya familiaSion Kitu bro, Fanya upost then usubir Mpaka niione
Ya wiki iliyopita uliona?Jamani mbona mi sina tatizo 😹
Umewaka bana pacha hiyo leather Vans unyama sana.. 🔥🔥🔥
Ndio mimi huyo , tena hapa nimewahurumia sana , nitaleta nikiwa vokesheniUnatuona sisi wajinga🤣🤣🤣
Nini sasa 😹Pumbavu 😂
Waja hawachelew kusema unavaa nguo za kununua ukiwa umechuchumaa 😂Bwashee ndio maana kwepa sana kupita , humu mna dharau sana🚮
Qmmk wee ka Jema vile 😅Wote nishaedit tayari, watoto wa kiume mnaogopa ogopa nini bana 😹
Mbona unyama mwingi hizo pic ndo tunahitaji warembo kuboost mapenzi bila pesa..!! 😹
Mm sitak maneno na ww, mana ww ndo wa kwanza kuja kuwachoma watu, nisije siku nkakuudhi ukaanza kusema navaa kiatu kimeshonwa Na Uzi baada ya kuchoka sana 😂Nini sasa 😹
Tusiseme ukweli km mmependelewa na Sir God 😻
Wog Wog mwenye vogue zake, do ze needfull mahi wangu..Napitaaaa....😎🏃
Wanatuona ma jobless pro max ka mawaki fulani hivi, eti tuna warushia stimuBwashee ndio maana kwepa sana kupita , humu mna dharau sana🚮
Mnatutafuta maneno min 😹Kijana wa kisomali nimepita
View attachment 3585599
Unyama, nikiwa mkubwa nataka kuwa kama ww bro 🤝Haya familia
Acha ufala, mi mwenyewe nasubiri niwe mkubwa ka wewe.Unyama, nikiwa mkubwa nataka kuwa kama ww bro 🤝
Bwashee mimi pamba nachukulia , Rodeo Drive (Beverly Hills) na ni mwendo wa gucci , dior au balanciaga 😅😅😅Waja hawachelew kusema unavaa nguo za kununua ukiwa umechuchumaa 😂
Dah ndivyo tulivyo labeMnatutafuta maneno min 😹
Hizo ndevu msawajiko au mchambuko?
Huyo down bila panga hazisheviki 🤣
Tulia wewe 😹Qmmk wee ka Jema vile 😅
Kabisa Bwashee, ni mbaya sanaWanatuona ma jobless pro max ka mawaki fulani hivi, eti tuna warushia stimu
😹😹😹 Tulia wewe mbona unyama mwingi hapo.Mm sitak maneno na ww, mana ww ndo wa kwanza kuja kuwachoma watu, nisije siku nkakuudhi ukaanza kusema navaa kiatu kimeshonwa Na Uzi baada ya kuchoka sana 😂
Yangu bado ipo, hakuna boya wa kusema jambo.Wote nishaedit tayari, watoto wa kiume mnaogopa ogopa nini bana 😹
Mbona unyama mwingi hizo pic ndo tunahitaji warembo kuboost mapenzi bila pesa..!! 😹
Hapo umechangamsha kijiwe haya tupia zile zenyewe sasa nimemiss kuona ile rangi ya mtume min 😻Dah ndivyo tulivyo labe